Nani Lyrics by Diamond Platnumz

1 week ago 6

Diamond Platnumz Lyrics

After experimenting with Amapiano and different foreign-influenced genres, Diamond Platnumz has returned to his Bongo Flava roots with a marque caller way titled Nani, which has been warmly received by fans.

Image of Tanzanian vocalist  Diamond Platnumz

Read Nani Lyrics by Diamond Platnumz below:

Intro
Aiyoo... oh
Zombie we
Zombie wewe
Oh, Zombie yo
S2Kizzy Baby

Verse 1
Wanaosema wamekuzidi, wamemzidi who?
Labda kuuza vi pipi na nyingi tattoo
Si wakuonjwa, kumezwa labda watemwe, tuu
Wivu ugonjwa, viendekeza vimeshushuka, shuu

We ndio my Bolingo, Kibinda nkoi
Ukinifanyia maringo, aki sitoboi
Kawe dereva, mi utingo penzi lori
Niendeshe kwa maringo tusivamie pori

Pre-Chorus
Mi hapo babe yangu mimi, ukivaa kimini
Siwezi nyanyuka, aibu natunaga chini
Sa utoto ndio nini, kunishitua injini
Kama unanipa, nipe, mi sipendi kudundishiwa chini

Chorus
We bwana we
Niende kwa nani asa, niende asa
Niende kwa nani asa, niende asa
Niende kwa nani asa, niende asa
Niende kwa nani asa, niende asa

Bridge
Lala, lala, lala

Verse 2
Embe dodo, embe dodo (Eh!) limelala mchangani (Ah!)
Nimeoza si kidogo, niko hoi taabani
Iwe huba au virobo (Eh!) kazi kwenu kina nyani (Ah!)
Maana hamnaga dogo, kwani kuna jipya gani?

We ndio my Bolingo, Kibinda nkoi
Ukinifanyia maringo, aki sitoboi
Kawe dereva, mi utingo penzi lori
Niendeshe kwa maringo tusivamie pori

Pre-Chorus
Mi hapo babe yangu mimi, ukivaa kimini
Siwezi nyanyuka, aibu natunaga chini
Sa utoto ndio nini, kunishitua injini
Kama unanipa, nipe, mi sipendi kudundishiwa chini

Chorus
We bwana we
Niende kwa nani asa, niende asa (Oh, niende, ndi, ndende)
Niende kwa nani asa, niende asa (Niende)
Niende kwa nani asa, niende asa (Oh, eti nikuache wewe)
Niende kwa nani asa, niende asa

Check Lyrics of latest songs here, and get caller updates arsenic they driblet via X and Facebook

Read Entire Article