Mitano Tena Lyrics by Lony Bway featuring Marioo

1 week ago 6

Lony Bway and Marioo Lyrics

In 1 of the year’s astir anticipated reunions, Lony Bway and Marioo travel unneurotic for a brand-new way titled Mitano Tena, a beauteous emotion opus that has already been warmly received by fans.

Tanzanian vocalist  Lony Bway

Read and bask Mitano Tena Lyrics by Lony Bway featuring Marioo:

VERSE 1

Hapa kilichobaki kutafuta tuu hela hela hela
Kuhusu malavidavi kama akhera akhera
Hapa kilichobaki kutafuta tu ndinga kali niwavimbie
Kuhusu malavidavi hii levo chafu babe


Ukishapata kizuri ndo utajua kibaya kibaya
Ukishapata bora ndo utajua mbaya mbovu chafu hiyo
Ukishapata mzuri ndo utajua mbaya sura mbaya
Ila mimi hapa nishajua sitopata kuliko wewe

Pre-Chorus
Oooh ma licha licha
Penzi lako ndo linanishawishi miaka buku tisa
Kama moyo nchi nakuachia wewe

Chorus
Mitano tena
Yote nakupa wewe, unitawale mitano tena
Chukua jimbo, kijiji, visiwa na nchi yote mitano tena
Oooh my babe mitano tena
Uuuuuh huna mpinzani

Verse 2
Uuuuh Aaah, funguo ishapata kitasa
We ni wangu maishani niliekuwa nataka aah
Alafu babe waambie archer them
Mi kwako nipo kwa muda gani
Ili wajue kutofautisha
Tunaenda taratibu tu, usiniumize hata kiutani utani
Fanya wajue bash maine bash maine bash maine bash me

Pre-Chorus
Oooh ma licha licha
Penzi lako ndo linanishawishi miaka buku tisa
Wala sifikirii kukucheat
Nafunga moyo, mi naziba macho, mi sitaki hata kutamani
Bora uchoyo tu ukiwa nacho
Maana kukitafuta kazi

Chorus
Mitano tena
Nakupa wewe uendelee mpenzi mitano tena
Kama moyo nchi nakuachia wewe mitano tena
Mitano tena oyeee
Eeeeh my babe my babe

Get Fresh updates from NotJustOk arsenic they driblet via X and Facebook

Read Entire Article